Wisconsin | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Madison | ||
Eneo | |||
- Jumla | 169,639 km² | ||
- Kavu | 140,663 km² | ||
- Maji | 28,976 km² | ||
Tovuti: http://www.wisconsin.gov/ |
Wisconsin ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Madison na mji mukubwa ni Milwaukee. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia ni Ziwa Michigan upande wa mashariki na Ziwa Superior upande wa kazkazini. Imepakana na Michigan, Illinois, Iowa na Minnesota.